Wananchi wakiwa na Bango la Akwilapo

Akwilapo mwamba kutoka milima ya Jimbo la Masasi amekuja na kauli mbiu ya Umoja mshikamano na Maendeleo kwa Wote Tunampamba maua na anapambika tunambeba juu na anabebeka ,Tunamtuma mpaka mjengoni dodoma na anaenda kwa haraka na anarudi kwa haraka akiwa na Umoja mshikamano na Maendeleo kwa Wote ,wanajimbo la masasi mungu atupe nini kwa huyu mwamba ,Ni yuleyule kule kwenye majabali ya milima ya Jimbo la masasi mjini ninani huyo ? Ni mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm mh ,Leonard Douglas Akwilapo mmasasi pyuu October 29 tukazijaze kura za ndiyo kwa Leonard Douglas Akwilapo pia kwa mgombea urais kwa tiketi ya ccm mama Samia Suluhu Hassani pia na Madiwani wetu wote kutoka Jimbo la masasi mjini.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top