Dr. Leonard Akwilapo
UMOJA NA MAENDELEO - Masasi Mjini
Tovuti Rasmi ya Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini 2025 – 2030 Dr L. D. Akwilapo
Mbunge wa Jimbo - Masasi Mjini
Kuhusu
Dr. Leonard Douglas Akwilapo ni kiongozi mwenye uzoefu mkubwa katika elimu, afya, na maendeleo ya jamii. Kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi kushirikiana na wananchi kuleta maendeleo ya kweli kwa wote.
Maono
Elimu Bora
Kuboresha shule na kutoa nafasi zaidi kwa vijana.
Afya Kwa Wote
Kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa wananchi.
Ajira & Biashara
Kusaidia vijana kupata ajira na kukuza biashara ndogo..
Kampeni - Masasi
Dkt. Leonard Akwilapo, ameonyesha mfano wa namna sahihi ya kupiga tiki
https://youtube.com/shorts/w6syhZxAkH4?feature=shareMgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi Mjini, Dkt. Leonard Akwilapo, ameonyesha mfano wa namna sahihi ya kupiga tiki kwenye karatasi ...
Wana Mtandi Nyumbani kwa Akwilapo
Wana Mtandi nyumbani kwa Dkt Akwilapo wamezima zote na wamewasha kijani.Kwenye mkutano uliofanyika tarehe 16/09/2025 Wajumbe na wanachama wa CCM ...


