Jamani mmewaona live wagombea wetu wa chama kubwa ccm, wanamasasi wote leo wàlijaa uwanja wa.Sabasaba uliopo mjini masasi wakishuhudia uzinduzi wa kampeni wa wagombea ubunge wa majimbo yote matatu ya wilaya ya masasi ,wagombea wetu walionekana wakiwa na afya njema iliyojaa bashasha nyingi za furaha upendo na amani Hawa siyo wengine ni Doctor Leonard Douglas Akwilapo Jimbo la Masasi mjini ,mh Issa Ally Mchungahela Jimbo la Lulindi mh Faraji Buriani Nandala Jimbo la Ndanda pamoja na wagombea wa udiwani wa kata zote zilizoko katika wilaya yetu ya masasi,. Hawa ndiyo wagombea wetu wa ccm 2025-2030 .Kwahiyo Ratiba ya kampeni zetu zinaendelea katika majimbo yetu ya wilaya ya masasi .Sasa wale vijana wa Hamasa majimbo yote matatu huu ndiyo wakati wa ushindani mkubwa wa.hamasa ,kila vionjo vya Hamasa vinatakiwa siku hiyo ya wagombea wetu watakapopita majimboni mwetu kuomba kura,ukiwa mwanachama wa ccm ,mwananchi wa masasi Siku ya October 25 mwaka huu twendeni tukawapigie kura za ndiyo wagombea wetu wa ccm.. pia kwa wale wapinzani CCM ndiyo chama chenu nanyi mnakaribishwa kwenye kampeni zinazoendelea za kuwanadi wagombea wetu wa ccm mnakaribishwa Sasa nyumbani kumenoga siyo munamuona Akwilapo ,munamuona mchungahela munamuona Nandala ,munawaona Madiwani wetu,Hawa ndiyo viongozi wa kuwapigia kura za ndiyo hivyo vyama vingine pinzani vimeshaishiwa pumzi choka mbaya havina sera ni vikundi vya wakasikia Mali kausha damu. CCM ndiyo chama pekee Afrika na ulimwengu mzima ambayo ni chama kilichodumisha amani Umoja na usawa pia ni chama chenye historia ya kuzalisha viongozi Bora wachapa kazi ukiwatuma wanaenda haraka na wanarudi haraka wakiwa na makontena yaliyojaa maendeleo.Ni Mimi mwanahistoria wa utalii masasi pia ni mwanahamasa wa kujitolea wa Ccm masasi.